-
Kuielekea Jamii Bora: Tafiti za Mahdawiyya (58)
Mapinduzi kabla ya kudhihiri Imam Mahdi (a.s.)
Hawza/ Baadhi ya watu, wakitegemea baadhi ya riwaya, wamefikia hatua ya kudhania kwamba aina yoyote ya harakati dhidi ya watawala madhalimu kabla…
تیتر دو پرونده
-
Kuielekea Jamii Bora: Tafiti za Mahdawiyya (58)
Mapinduzi kabla ya kudhihiri Imam Mahdi (a.s.)
Hawza/ Baadhi ya watu, wakitegemea baadhi ya riwaya, wamefikia hatua ya kudhania kwamba aina yoyote ya harakati dhidi ya watawala madhalimu kabla…
-
Kuielekea Jamii Bora: Tafiti za Mahdawiyya (57)
Tawkī‘āt za Imam Mahdi (a.s.)
Hawza/ Miongoni mwa njia zinazobainisha mas-ala na kuondoa shubha ni kutumia mwongozo na kunufaika na tawkī‘āt na maandiko ya mkono ambayo Imam…
-
Kuielekea Jamii Bora: Tafiti za Mahdawiya (56)
Njia za Kumtambua Imam (a.s.)
Hawza/ Bila shaka mojawapo ya majukumu muhimu ya waja mbele ya Mola wao ni kumjua huyo Mwenye Hadhi Tukufu. Maarifa haya hufikia ukamilifu wakati…
-
Kuielekea jamii Bora: Tafiti za Mahdawiya (55)
Mambo ya pamoja kati ya Ahlul-Sunna na Shia kuhusiana na suala la Mahdawiya
Hawza/ Ahlul-Sunna wametaja mara nyingi katika riwaya zao ukweli wa "fikra ya Mahdawiya". Ingawa katika baadhi ya maeneo inatofautiana na imani…
-
Kuielekea Jamii Bora: Tafiti za Mahdawiyat (54)
Imamu Mahdi katika Vyanzo vya Ahlus-Sunna
Hawzah/ Kwa kupitia kwa muhtasari vitabu vya riwaya vya Ahlus-Sunna, inadhihirika wazi kuwa suala la Imamu Mahdi (a.s.) limetajwa kwa wingi katika…
-
Kuielekea Jamii Bora: Tafiti Kuhusiana na Mahdawiyya (53)
Mahdawiyya katika Qur’ani (Sehemu ya Mwisho)
Hawza/ Aya za Qur’ani wakati mwengine huwa na maana nyingi: moja ni ya dhahiri na ya wazi kwa watu wote, na nyingine ni ya ndani (maana ya batini),…
-
Kuielekea Jamii Bora: Tafiti Kuhusiana na Mahdawiya (52)
Mahdawiyya katika Qur’ani (Sehemu ya Nne)
Hawza/ Mwenyezi Mungu amewaahidi waumini na watu wema ahadi ya utawala juu ya ardhi, utukufu wa dini ya haki, na usalama kamili. Hata hivyo,…
-
Kuielekea Jamii Bora: Tafiti za Mahdawiyyah (51)
Mahdawiyyah katika Qur’ani (Sehemu ya Tatu)
Hawzah/ Baadhi ya aya katika Qur’ani Tukufu zinahusiana na ushindi wa wenyekudhoofishwa dhidi ya wenye nguvu, na zinabainisha kwamba hatimaye…
-
Kuielekea Jamii Bora: Tafiti kusuhisana na Mahdawiyyah (50)
Mahdawiyyah katika Qur’ani (Sehemu ya Pili)
Hawzah/ “Kudhoofishwa” pekee si sababu ya ushindi dhidi ya maadui na utawala juu ya ardhi; bali kuwepo kwa imani na kujipatia sifa za ustahiki…
-
Kuielekea Jamii ya Bora: Tafiti za Mahdawiyyah (49)
Mahdawiyyah katika Qur’ani (Sehemu ya Kwanza)
Hawza/ Qur’ani Tukufu imezungumzia kwa ujumla juu ya kudhihiri na kisimami cha Hujjat Imam Mahdi (aj), na imeonesha bishara ya kuundwa serikali…
-
Kuielekea Jamii Bora: Utafiti Kuhusiana na Imam Mahdi (a.s.) – 48
Wajibu na Majukumu Maalum ya Wenye kusubiri
Hawza / Katika zama hizi si haba watu ambao, kwa sababu mbalimbali, hawawezi kuvumilia katika kumuamini Imam aliye ghaibu na kumkumbuka yeye.…
-
Kuielekea Jamii Bora: Mkusanyiko wa Utafiti Kuhusiana na Imam Mahdi (as) – 47
Wajibu na Majukumu ya Kawaida kwa Wanaosubiri (Al-Muntadhirīn)
Hawzah/ Wajibu na majukumu ya wanaosubiri hayako mahsusi kwa kipindi cha ghaiba tu; huenda kutajwa kwake miongoni mwa wajibu wa kipindi cha ghaiba…
-
Kuielekea Jamii Bora: Mkusanyiko wa Utafiti kuhusiana na Imam Mahdi (as) - 46
Nafasi na Daraja la Wenye subira ya Kweli juu ya Imam Mahdi (aj)
Hawza/ Kwa sababu ya hali maalumu inayowakumba watu waliopo katika zama za kusubiri, iwapo watakuwa na subira ya kweli, watapata hadhi na cheo…
-
Kuielekea Jamii Bora: Mfululizo wa utafiti Kuhusiana na Imam Mahdi (as)– 45
Nafasi ya Intidhar (Kusubiri ) katika Utamaduni wa Kishia (Sehemu ya Nne)
Hawza/ Intidhār (kusubiri kudhihiri) hakubatilishi wajibu wala hakutoi ruhusa ya kuchelewesha utekelezaji wa matendo, uzembe katika majukumu…
-
Kuielekea Jamii Bora: Mfululizo wa utafiti kuhusiana na Imamu Mahdi [a.s] –44
Nafasi ya Intidhar (Kusubiri) katika Utamaduni wa Kishia (Sehemu ya Tatu)
Hawza/ Intidhar (kusubiri) ni kusubiri kwa hamu mustakabali wenye sifa zote za jamii ya Kimungu, ambako mfano wake wa kipekee ni kipindi cha…
-
Kuielekea Jamii Bora: Mfululizo wa utafiti kuhusiana na Imam Mahdi (a.s) – 43
Nafasi ya (Intidhar) Kusubiria faraja katika Utamaduni wa Kishia (Sehemu ya Pili)
Hawza / Katika maana hii, mafundisho ya dini yamekusudia, mbali na kubainisha fadhila ya “faraja ya kijamii” na matumaini ya siku zijazo na kuelekeza…
-
Kuielekea Jamii Bora: Mfululizo wa Mada Kuhusiana na Imam Mahdi (a.s.) – 42
Nafasi ya Intidhari (Kusubiria Faraja) katika Utamaduni wa Kishia (Sehemu ya Kwanza)
Hawza/ Kile kinachomfanya mwanadamu awe na matumaini ya kuishi na kinachorahisisha kwake hofu na huzuni, ni intidhari (kusubiri) na matumaini…
-
Kuielekea jamii Bora: Mfululizo wa Utafiti kuhusiana na Imam Mahdi (as) – 41
Huruma ya Imam wa Zama (as)
Hawza / Imam, kutokana na wingi wa huruma na mapenzi aliyo nayo kwa wafuasi wake, ana uhusiano na mawasiliano makubwa zaidi kwa wao, Na kwa sababu…
-
“Kuielekea Jamii Bora” (mkusanyiko wa utafiti kuhusiana na Imam Mahdi (as) – 40
Imam ni kioo cha rehema isiyo na kikomo ya Mwenyezi Mungu
Hawza/ Imam zaman (as) ingawa yupo kwenye ghaiba, lakini ni wingu la rehema linaloendelea kunyesha daima na kulipa uhai na bashasha jangwa kavu…
-
Kuielekea Jamii Bora: (Mfululizo wa utafiti kuhusiana na Iamam Maha (as)- 39)
Dalili za Wiyaatul-Faqih – Dalili za Nakili/Riwaya – Sehemu ya Pili)
Hawza/ Miongoni mwa riwaya ambazo fuqah'a wamezitolea dalili kwa ajili ya kuthibitisha Wilayatul-faqih, ni riwaya ambayo ameinukuhu Omari ibn…
-
Kuielekea Jamii Bora: Mfululizo wa Utafiti Kuhusiana na Imam Mahdi (as) - 37
Hoja za wilayat Faqihi (Hoja ya Kiakili)
Hawza/ Hoja ya wilayat faqihi inaweza kuchambuliwa kwa mtazamo wa kiakili na vilevile wa kinakini; yaani, akili inamuamrisha Muislamu kumtii…